Biography:
Artist/Stage Name: Mocco Genius
Birth Name/Original Spelling: Idd Mohamed Ngomba
Birthday: June 04, 1993
Country: Dar es Salaam, Tanzania
Occupation: Singer * Writer* Music Producer & Artist
Producer for: Diamond Platnumz *Zuchu* Alikiba* Marioo
Producer for: Producer of: Zuchu Ft Diamond Platnumz-Cheche *
Marital: N/A
Children: 1
MUSICAL CAREER
Other A.K.A Names: Mocco
Origin: Tanzania
Languages: Swahili, English
Lyrics: Mi Nawe * Hello* Mchuchu *
Genres: *Bongo Flava* Konpa/Compas/Kompa
Instruments: Keyboard/Piano *Guitar*
Biography:
Awards: 2
Album/EP:
Videos:
Labels: Mocco Genius
Years Active:
Artist Site:
E-Website: www.eollywood.com
EOLLYWOOD* EAEEA-East Afro Entertainment Empire Artistry
EOLLYWOOD* EAEEI-East Afro Entertainment Empire Industry
EOLLYWOOD* EAEEA-East Africa Entertainment Empire Artistry
EOLLYWOOD* EAEEA-East African Entertainment Empire Artistry
MOCCO LYRICS & VIDEOS
• Hello
• Mchuchu
• Mi Nawe
Mocco - Hello (Lyrics)
Instruments
Mouja
Mocco
Verse 1
Nisipokuona Siku Moyo juu juu (Juu)
We fundi wa kunipeaga nipe mimi tu
Kukupendelea
kwangu ni wajibu
na nisipoelewa
we ndo langu jibu
Sijazizoea raha za ajabu
kama umenipa pombe nimezima fofofo (hello)
Hello
Bridge
Mimi Mwenzako naona kama mapenzi yako ndio peponi
instruments
Mimi mwenzako naona kama mapenzi yako ndio peponi
Instruments
Chorus
Hello Hello Heelloo
(hello hello)
Hello Hello Heelloo
(hello hello)
Naongea na wewe mpenzi wangu hello
(hello hello)
Nina kuimbia wewe mpenzi wangu hello
(hello hello)
Instruments
Verse 2
Mahi diha Wangu
(ninyooshe)
Nahi sia zangu
(uzipoze)
Sihofii tena mapenzi
Mnazi umepata mkwezi iii
Nyumba imepata Mkazi
Wakunifuta Machozi ni wewe hello
Bridge
Mimi Mwenzako naona kama mapenzi yako ndio peponi
instruments
Mimi mwenzako naona kama mapenzi yako ndio peponi
Instruments
Chorus
Hello Hello Heelloo
(hello hello)
Hello Hello Heelloo
(hello hello)
Naongea na wewe mpenzi wangu hello
(hello hello)
Nina kuimbia wewe mpenzi wangu hello
(hello hello)
Outro
Na Hii
Ndo Kwanza Ya Pili
Mama Kompa Kompa Kompa
Wewee Hukuu Njoo
Tika Tika Tika Tika
Instruments
Leo Michezo Ya Kompaa
Mocco – Mchuchu (Lyrics)
Mojaaah
Yeah
Mocco
Mimi nimekiuona wewe
Katika ma mia ya wengine
Mi wa kwako wewe
Hakika Sina mwingine
Wa maisha yangu
Wa maisha yangu
Wa maisha yangu
Wa maisha yangu
Mbona hata mama
Aliniambia
kila kitu changu
Cha kwako wewe
Cha kwako
Chorus:
Ndo maana
Nakupa Mchuchu
Moyo wangu Wote
Nakupa Mchuchu
Moyo wangu Wote
Nakupa Mchuchu
Moyo wangu Wote
Nakupa Mchuchu
Moyo wangu Wote
AAAH
YEAH
HII TAMU BWANA
KOMPA KOMPA
VERSE2:
Busu tu
Nazima
Mahaba yako mazito
Ukiyapima
Ooh Uwezo sina
Ningekuhonga Madinar
Na hata hii dunia
Iitwe kwa lako jina
Oh nilikwambiaga
ukinipenda mimi tu
Mapenzi ya kumwaga
Oooh
We Wa maisha yangu
Wa maisha yangu
Wa maisha yangu
Wa maisha yangu (Maishaaah)
Mbona hata mama
Aliniambia
kila kitu changu
Cha kwako wewe
Cha kwako
Chorus:
Ndo maana
Nakupa Mchuchu
Moyo wangu Wote
Nakupa Mchuchu
Moyo wangu Wote
Nakupa Mchuchu
Moyo wangu Wote
Nakupa Mchuchu
Moyo wangu Wote
HALO
MMH!
HII TAMU BWANA
EEEH! EEEH!
Mojaaah!
Mocco – Mi Nawe (Lyrics)
Mojaaah!
Vers1: Mmmh!
Aah mon bebeeeh!
Aah mon bebeeeh!
Nimetosheka nimeridhika na weeeh!
Aah mon bebeeeh!
I’m already eh!
I’m already
Umeniteka umenishika I swear
Aah mon bebe
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazamaaah!
maana mzuri sana tena
Tena twaendanaaah!
BRIDGE:
Washa nifata
Mi Nikawakata,
Washakufata,
We ukawakata
CORAS: Mmmh!
Milele mi na weeeh!
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
Forever mi na we
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
KOMPAAAAH!
VERS2:
Macho yako baby
mwengine yasimshuhudie
Deka ni kuone
Na roho yangu itulie
Because You
You so special
Special tuijenge Kesho
Kesho yenye vicheko
cheko furaha madeko.
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazamaaah!
maana mzuri sana tena
Tena twaendanaaah!
BRIDGE:
Washa nifata
Mi Nikawakata,
Washakufata,
We ukawakata
CORAS: Mmmh!
Milele mi na weeeh!
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
Forever mi na we
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
KOMPAAAAH!








